Mzigotz
Version 0.1 💾 4 Mb
📅 Updated September 2
Features Mzigotz
Mzigotz ni application inayokupa nafasi ya kusoma taarifa za matukio mbalimbali pamoja na updates zote popote ulipo kupitia simu yako bila kusahau video za matukio hayo pamoja na video kali za mastaa wako nje na ndani ya bongo, ni application ya kwanza kabisa kukuletea taarifa za matukio kwa haraka zaidi,Bofya "Install" na ufurahie kuwa karibu na dunia yako.
Pia kupitia application hii itakuunganisha na biashara za fashion yako, iwe ni Nguo, Viatu, Saa, Kofia, Mikoba pamoja na fashion za kila aina.
Karibuni sana
Tumekuletea unachokihitaji.
Secure & Private
Your data is protected with industry-leading security protocols.
24/7 Support
Our dedicated support team is always ready to help you.
Personalization
Customize the app to match your preferences and workflow.
See the Mzigotz in Action
Get the App Today
Available for Android 8.0 and above